Tarehe ya kufungua na kuripoti wanafunzi wa kidato cha tano na Bayo vya kati.

TAARIFA KWA UMMA
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2018 wataanza muhula
wa kwanza tarehe 16 Julai, 2018. Wanafunzi wote wanapaswa kuripoti katika Shule
aliyopangiwa kwa muda uliopangwa. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi
ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na
mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Mwanafunzi aliyechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano, anapaswa kupakua (Download)
fomu ya kujiunga na shule husika kwenye mtandao. Mwanafunzi hapaswi kwenda
kuchukua fomu ya kujiunga katika shule aliyopangwa na haruhusiwi kupiga simu. Aidha,
wanafunzi waliopangwa kwenye Vyuo vya Elimu ya Kati inabidi kufanya UTHIBITISHO
kuanzia tarehe 17 Juni, 2018 hadi ifikapo tarehe 8 Agosti, 2018 wa kukubali kujiunga na
Kozi na Vyuo walivyopangiwa kwa njia ya mtandao. Uthibitisho huo utafanyika kupitia
tovuti ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ya http://www.nacte.go.tz katika
kiunganishi kinachoitwa Uthibitisho TAMISEMI. Mwanafunzi atakayeshindwa
kuthibitisha kozi na chuo alichopangiwa, nafasi yake itachukuliwa na wanafunzi wengine.
Mwanafunzi atakayetaka kufanya mabadiliko ya kozi na chuo alichopangiwa ataruhusiwa
kufanya hivyo kuanzia tarehe 9 Agosti, 2018 hadi 23 Agosti, 2018 kupitia tovuti ya NACTE
ya http://www.nacte.go.tz.

Bofya hapa kupata fomu za kujiunga Kwa shule mbalimbali na vyuo vya kati, kwa mikoa yote.

Advertisements

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha TANO, Vyuo vya Ufundi na Vyuo vya Elimu ya Kati kwa mwaka 2018

16 Juni 2018

serikali kupitia wizara ya ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ilitoa majina ya wanafunzi watakaojiunga na kidato cha tano na vyuo vya kati kwa mwaka wa masomo 2018/19

Bofya kiunganishi hiki ili kupata orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha TANO, Vyuo vya Ufundi na Vyuo vya Elimu ya Kati kwa mwaka 2018

NAMNA AMBAVYO UNAWEZA KUANDAA BUSTANI YA MBOGA UKIWA NYUMBANI

Hizi ni bustani za kuamishika. Kulingana na kuongezeka Kwa magonjwa mengi ya mimea, bustani (mbogamboga) zimekuwa zikimwagiliwa dawa nyingi zenye viwatilifu ili kuua vijidudu sababishi vya magonjwa. Hata hivyo licha taratibu nzuri ya matumizi ya viuatilifu hivyo kutofuatwa wengi wamefanya hivo ili wajipatie pesa pasi na kujali afya za wanadamu (watumiaji/walaji).

Sasa naomba nikulekeze njia rahisi ya kuweza kuepukana na mbogamboga za sokoni ambazo nyingi husemekana kuwa na dawa. Ni kuandaa bustani ya kuhamishika nyumbani kwako. Bustani hii waweiweka hata ghorafani juu, na mambo yakawa mujarabu kabisa.

Vifaa:
andaa makopo ya ukubwa wowote, udongo ulio na rutuba waweza ongeza na samadi au mbolea yoyote ya kienyeji, mifuko, mabomba au kitu chochote kinachoweza kubeba udongo. Sasa unaweza lowanisha udongo hakikisha Maji ni kiasi cha wastani na hatimaye weka mbegu au mche wa mmea wako mbogamboga.

Picha hizi hapa chini zinaweza kukusaidia jinsi utakavyotakiwa kufanya Kwa muundo tofauti tofauti.

Penda & sambaza
Like & share.

Tangazo La Mafunzo Ya Ufugaji Wa Samaki.

Chuo kikuu cha sokoine cha kilimo kwa kupitia idara ya sayansi ya wanyama,viumbe maji na malisho kimeandaa mafunzo ya ufugaji wa samaki yatakayofanyika kuanzia tarehe 02/05/2018 hadi tarehe 05/05/2018 katika ukumbi wa ICE uliopo kampasi kuu ya SUA.

Ili kushiriki katika mafunzo haya mshiriki anatakiwa

Awe na uhitaji endelevu na nia ya dhati ya kutaka kufuga samaki
Aliyeanza kufuga na anataka kupata mbinu za ufugaji zaidi
Idadi ya washiriki ni watu 30 tu, watakaowahi kuchukua fomu na wenye nia ya dhati ya kufuga samaki ndio watakaopewa kipaumbele.Mshiriki atajigharamia usafiri, malazi pamoja na chakula cha jioni

Fomu zinapatikana SUAMEDIA na ICE kampasi kuu ya SUA,
Mafunzo ni bure wote mnakaribishwa,
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0768503292 au 0754370047,
Kwa wanaotoka mbali, hostel zipo ICE SUA kwa bei nafuu kabisa.

My Precious Memories at Kilakala Girls High School. 

My form V CBG Students , just doing a preliminary Biology test, featured on front is Hidaya.
This was a weekly parade at the every Monday morning assembly.
Mr Sadiki, a computer science teacher.
When my V PCB class are tired 😴.
My V CBG Students doing an exam.
A class cheer up.
My football team, when had a football match against veterans of Kilakala teaching staff.
The administration block of Kilakala High School.

Students at the assembly.
Our computer laboratory.
The FTP teachers.
Glory a very white student

Mariam at a very extensive lovely smile ☺.
Featured on front is Ngollo Mashallah, one of my favorite student.
Mwalimu Busagi Belias Ngofira, taking a Selfie with V PCB students after a lecture.
My V PCB students, during class hours.
The school compound

By Mwl. Busagi Belias. 

      0756858382

WordPress.com.

Up ↑