Humphrey Polepole kuwa katibu Wa halmashauri kuu ya itikadi Na uenezi, CCM.


Ndg. Humphrey Polepole,  leo hii ameteuliwa kuwa katibu wa halmashauri kuu itikadi na uenezi katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC).

Kikao hicho kilichoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli  kimefanyika leo Ikulu jijini Dar-es-salaam.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s