
















By Mwl. Busagi Belias.
0756858382
By Mwl. Busagi Belias.
0756858382
26 Aug, 2017
Hii inawahusu wale wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano awamu ya pili mwaka huu. Hapa kuna fomu za maelekezo ya kujinga na shule yako uliochaguliwa (School joining instruction forms), bofya mkoa alafu shule uliyochaguliwa kupata fomu hiyo.
Chagua Mkoa, ambao kuna shule uliochaguliwa.
23-08-2017
TAARIFA KWA UMMA
Tafadhali bofya chini Kujua Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano kwa Awamu ya Pili kwa mwaka 2017.
Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 Awamu ya Pili kwa mwaka 2017
1 .0 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kuuarifu umma kuwa, mwezi Septemba na Oktoba mwaka 2016 ilifanya uhakiki wa vyuo vyote vya elimu ya juu nchini ili kuhakiki ubora wa elimu inayotolewa vyuoni.
Ripoti ya uhakiki ilionesha mapungufu kadhaa katika baadhi vyuo. Kwa sababu hiyo, Tume imesitisha udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18 kwa vyuo vifuatavyo:
1. Eckenforde Tanga University
2. Jomo Kenyatta University, Arusha
3. Kenyatta University, Arusha
4. United African University of Tanzania
5. International Medical and Technological University (IMTU)
6. University of Bagamoyo
7. St. Francis University College of Health and Allied Sciences
8. Archibishop James University College
9. Archibishop Mihayo University College
10.Cardinal Rugambwa Memorial University College
11.Kampala International University Dsm College
12. Marian University College
13.St. Johns University of Tanzania Msalato Centre
14.St. Johns University of Tanzania, Marks Centre
15.St. Joseph University College of Engineering and Technology
16.Teofilo Kisanji University
17.Teofilo Kisanji University Tabora Centre
18.Tumaini University, Mbeya Centre
19.Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMCo)
2.0 Aidha, kutokana na mapungufu katika vyuo mbalimbali imeamriwa kwamba jumla ya programu 75 kutoka vyuo 22 nchini zimesitishwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo
2017/18. Kuona Programu ambazo zimesitishwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2017/18 tafadhali bonyeza hapa.
3.0 Aidha Tume inapenda kusisitiza kwamba, uamuzi huu hautawahusu wanafunzi wanaondelea na masomo katika programu na vyuo husika.
Imetolewa na TCU.
Zifahamu baadhi ya kozi katika vyuo mbalimbali ambazo zimezuhiliwa na TCU kuwadahili wanafunzi. Bofya hapa kuziona ni muhimu sana.