Majina ya wanafunzi  waliochaguliwa kujiunga na kidato cha Tano kwa mwaka 2017 (the selected students to join form five year 2017 Tanzania). 

Ofisi ya Raisi TAMISEMI imetoa majina ya wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2016 watakao jiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2017. Majina haya hayo yametolewa kwa awamu mbili,  ya Kwanza na ya pili.

Awamu ya kwanza; Bofya hapa Kuangalia majina ya awamu ya kwanza. 

Awamu ya pili; Bofya hapa Kuangalia majina ya awamu ya pili,  waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano na vyuo. 

Jinsi ha kupata kifushi cha chuo cha Zantel (Zantel university offer)


​Piga *148*05# kupata menyu ya kujiunga na vifurushi uvipendavyo vya Zantel, popote pale ukiwa na laini ya mwanachuo.

Kwa Siku

BEI DAKIKA DATA SMS MUDA
TZS 300 30+5 MB 400 40 Saa 24
TZS 500 65+5 MB 600 550 Saa 24

Kwa Wiki 

BEI DAKIKA DATA SMS MUDA
TZS 500 MB 500 Siku 7
TZS 1,500 180+10 MB 1,536 1,500 Siku 7

Kwa Mwezi

BEI DAKIKA DATA SMS MUDA
TZS 10,000 800+80 MB 10,752 1,500 Siku 30

 

Jinsi ya kupata kifurushi cha chuo cha halotel (halo university pack)

Ukiwa na laini Maalum ya Mwanachuo, Mwanachuo anaweza kujiunga na bando maalum za Mwanachuo mahali popote pale, kwa kupiga *148*55#.
Ofa maalum ya mwanachuo ya Halotel ni huduma ya promosheni ambayo inawawezesha wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vingine nchini kuendelea kuwasiliana kupitia huduma za simu za Halotel ambazo ni huduma za sauti na kujifunza zaidi kwa kutumia intaneti ya kasi ya juu. 

Halotel inawapa wanafunzi wote wa vyuo ofa mbili maalumu;

– Bando Maalum

Vifurushi utakavyopata

Muda

Gharama (Tsh)

Halotel (Dk)

Mitandao yote (Dk)

SMS

Data (MB)

Siku

300

35

3

300

350

500

60

5

500

550

Wiki

1,500

200

15

1,500

1,229

2,500

300

20

2,500

2,560

500

 

600

Mwezi

9,999

1,200

80

10,000

10,240

 

Fahamu mambo muhimu unapokuwa ni kiongozi.

1. Kuwasilikiza unaowaongoza:  Mtu anapokuwa ni kiongozi Wa kundi Fulani, amepewa dhamana ya kwa niaba ya watu wake. Hii haimaanishi kuwa wewe ni maridadi sana au mwenye akili sana kuliko watu watu wako, La hasha. Watu unaowaongoza wanao uwezo mabalimbali na mkubwa tena pengine kuliko wewe, pia wanayo mawazo yenye tija juu ya kundi lao. Unapokuwa ni kiongozi sasa yakupasa kuwasikikiza sana watu wako kwa maana  mawazo yao ndiyo yatakayo kusaidia wewe katika uongozi wako.

2. Nidhamu: Ni jambo la msingi sana  kwa kiongozi yeyote kuwa na maadili katika jamii na pia katika mazingira yake ya kazi. Watu wanapokuona wewe kama kiongozi Mara nyingi hutegemea mambo makubwa sana tena zaidia ya hata ambavyo wewe ungeweza kufikria kuwa wanayofikria na kuyategemea kutoka kwako. Unapokuwa na matendo mengi yasiyo maana (mabaya) watu wengi hupoteza imani kwako hivyo kukudharahu kwa kiasi kikubwa. Na sasa hawatakueshimu tena kwani wamekufanya kama wewe kuwa mtu wa chini sana. Na lolote utakalolisema wewe hawatalitilia maanani.

3. Msimamo:  Kuwa na kile unachokiamini na kukisimamia ipasavyo. Jambo linalowafanya viongozi wekwa kuwa na sifa nyingi kama  Mwl Nyerere, Mandela, Kinjikitile Ngwale na wengine wengi huwa ni kile kitu walichokisimamia kwa katika uongozi wao, kiongozi unapokuwa na msimamo legelege watu wanaokuamini hupoteza imani na wewe pia mambo yale unaliyoyapanga uongozini hayatatimia (fanikiwa). Mara nyingi watu wanaweza kutoelewa vizuri au kuchanganya hata mambo haya msimamo na kuwasikiliza watu (demokrasia). Ni vema sana kuwasikikiza lakini si kuyumbishwa na mawazo yasiyojenga.

YAFAHAMU  MADHARA  20 YA KUJICHUA/KUPIGA PUNYETO (MASTURBATION) 

1-Kuathirika kisaikolojia 

2-Kuuwa nguvu asilia za mwilini

3-Kutokwa na jasho jingi kila Mara

4-Kutoeza kudhibiti mkojo

5-Kujikojolea Mara tyu ufunguapo mlango Wa chop

6-Kujawa na uchovu mwilini

7-Kuwa mvivu Wa kupindukia

8-Kujawa na mate mazito mdomoni

9-Kupoteza nguvu za macho

10-Kudungwa na pini magotini hasa upandapo ngazi au mlima

11-Kujawa na usingizi

12-Kulala mapema mda Wa magharibi

13-Kupumua haraka haraka

14-Kuwaogopa wanawake

15-Kuzaliwa watoto wasiokuwa wako.

16-Kukojoa mapajani mwa mwanamke.

17-Kushindwa kurudia tendo LA ndoa kwa Mara ya pili.

18- Kupoteza kumbukumbu.

19- Kupoteza stamina ya miguu.

20- Miguu kutetemeka.

Tangia Leo, Mungu uache Mara moja.